Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Kila la kheri kwa Mayele ,sema Ameen mkuuAloooo Sub ndio hiziii!!!!
Kwa Sub hizi sioni nafasi ya kutawala mpira eneo la mwisho
Mayele ana nafasi kubwa ya kuchukua kiatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri kwa Mayele ,sema Ameen mkuuAloooo Sub ndio hiziii!!!!
Kwa Sub hizi sioni nafasi ya kutawala mpira eneo la mwisho
Mayele ana nafasi kubwa ya kuchukua kiatu.
Score board imesoma 2-1 hapo nani mfungaji wa bao la pili?
Bocco broPumbaaaaavu sasa nawatukana wajinga nyie ebu leteni update alaaaaa
Sijui hawa ambao wako kwenye screen muda huu wanambwera nini kutujuzaGoli la 2 nani kafunga? Wekeni updates.
Ahhàaaaaa,nikajua NtibaBocco anaipa simba goli la 2
Twende uzi wa Prison bro.Pumbaaaaavu sasa nawatukana wajinga nyie ebu leteni update alaaaaa
Huyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?Bocco bro
BoccoSijui hawa ambao wako kwenye screen mida huu wanambwera nini kutujuza
BoccoGoli la 2 nani kafunga? Wekeni updates.
Dah ! Umenichekesha eti kimbelembeleHuyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?
Huyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?
Kimbelembele kweliHuyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?