FT: NBC Premier League: Singida Black Stars 1-2 Simba Sports Club | 12:00 Jioni

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
14,266
Reaction score
40,225
Mtanange mkali Leo.

Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya mshambuliaji hatari mwenye kuogopwa mwenye mchanganyiko wa Messi na Ronaldo si mwingine ni DOUMBIA mfungaji bora msimu huu
Usikose Mechi hii kuona udambwidambwi wa DOUMBIA

Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam

NB; SIMBA AKIFUNGWA NIPIGWE BAN LA MWAKA

IMG-20260815-WA0240.jpg

Muda : Saa 12:00Jioni .
 
View attachment 3654684

Muda : Saa 12:00Jioni .
Simba ni namba 9 kwa ubora Africa kwa rank za mashabiki wa Simba ila kwa rank ya CAF, Simba ni ya 11 haipo top 10
 
Attachments

  • IMG_20260822_092535.jpg
    IMG_20260822_092535.jpg
    325.1 KB · Views: 17
Singida wanacheza kama kikundi cha wavuvi waliokusanywa kwenda kucheza mpira!

Timu haina kocha hii!
 
Back
Top Bottom