Sijui kama bench linawaonya machezaji. Wanafanya upuuzi wa kijinga sanaSimba na redcard msimu huu mtabaki mtu 6
Mwenye namba 10 na simba wamepishana pointi ngapiSimba ni namba 9 kwa ubora Africa kwa rank za mashabiki wa Simba ila kwa rank ya CAF, Simba ni ya 11 haipo top 10
Huko kusimama kwenye ujinga ndio kunakofanya viongozi watuone mafaka. Unasimamaje na kiongozi ambaye misimu mitano hatuna ubingwa kwa sababu ya kukosa strikers, yeye akaona muafaka ni kusajili Doumbia. Huyu huhitaji skills za mpira kujua kama ni garasa.Yaani Mimi nashangaa sisi wenyewe mashabiki wa Simba badala ya kusimma na timu yetu tunapiga majungu Tena hiii inashangaza sana na kusikitisha pia, timu iliyosajiliwa ndiyo hii hakuna namna uwezo WA wachezaji ndo huo tuwape moyo, mbona Maema kajitahidi sana na hata Mligo alikuwa katika kuisaidia timu ndo ajali ikampata lkn pale nadhani refa angetoa ya njano TU lkn nafikiti refarii alikuwa ana balance stori ndo maana kapewa nyekundu, kikubwa point 3 ugenini
Kwa siku za karibuni sijawahi kumwelewa Barker na sub zake za ajabu ajabu. Unakuta timu ina tofauti ya goli moja halafu anapenda sana kumwingiza yule mtoto wa Tanga Semfuko. huyo Semfuko alipokuwa Coastal alikuwa wa moto sana alipofika Simba alianza vizuri lakini sasa hivi kawa mdebwedo kweli kweli. Semfuko ni kama Jimson Mwanuke aliyechangamka hana jipya kabisa zaidi anajaza tu idadi ya wachezaji pale Simba.Hii Simba imejaa upuuzi halafu kocha ana sub za kidwanzi.
Hii ilikuwa hujuma ya dhahiri kabisaaaJana tena katoa boko kamuingiza Doumbia wakati timu ipo pungufu. Doumbia mwenyewe akawa anawakimbia mabeki mpaka mstari wakati. .
Inawezekana kashachoswa na mambo ya Simba hivyo labda anatafuta sababu ya kusepa. Kwa mechi ilivyokuwa jana mmoja kati ya Mpanzu au Libase alitakiwa abaki kule mbele ili kupunguza namba ya wachezaji wa Singida wanaoishambulia Simba.Hii ilikuwa hujuma ya dhahiri kabisaaa
Mashabiki wa Simba SC ni kama wamekata tamaa kabisa Kwa viashiria vya namna hii:Yaani Mimi nashangaa sisi wenyewe mashabiki wa Simba badala ya kusimma na timu yetu tunapiga majungu Tena hiii inashangaza sana na kusikitisha pia, timu iliyosajiliwa ndiyo hii hakuna namna uwezo WA wachezaji ndo huo tuwape moyo, mbona Maema kajitahidi sana na hata Mligo alikuwa katika kuisaidia timu ndo ajali ikampata lkn pale nadhani refa angetoa ya njano TU lkn nafikiti refarii alikuwa ana balance stori ndo maana kapewa nyekundu, kikubwa point 3 ugenini