Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Simba ni namba 9 kwa ubora Africa kwa rank za mashabiki wa Simba ila kwa rank ya CAF, Simba ni ya 11 haipo top 10Mtanange mkali Leo.
Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya mshambuliaji hatari mwenye kuogopwa mwenye mchanganyiko wa Messi na Ronaldo si mwingine ni DOUMBIA mfungaji bora msimu huu
Usikose Mechi hii kuona udambwidambwi wa DOUMBIA
Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam
NB; SIMBA AKIFUNGWA NIPIGWE BAN LA MWAKA
View attachment 3654684
Muda : Saa 12:00Jioni .
Hasira za Magufuli Bus Terminal huenda zikahamia kwa Simba SC 😄Kila la heri Singida Black Stars aka Ester Coach Fc.
Tangu October 29 mambo yamevurugika humu. Enzi hizo sasa hivi hii post ingekuwa page ya 30 huko. Na watu kama 7 hivi wangekuwa wamegombania kuanzisha uzi saa 6 kamili usiku.Ina maana mpira siku hizndio umekosa mashabiki kiasi hichi
29oct imebadilisha kila kituTangu October 29 mambo yamevurugika humu. Enzi hizo sasa hivi hii post ingekuwa page ya 30 huko. Na watu kama 7 hivi wangekuwa wamegombania kuanzisha uzi saa 6 kamili usiku.
🤣🤣🤣 Simba bana basi tuMligo aliyemsajili hajitambui na aliyemrudisha Maema hana akili.