Na penati walikuwa washakosaAzam wamejitahidi. Uto muda kama huu walishakula 2 za maana
Mhasibu leo pamotoGooool 2-1
Azam wapigwe ili kupunguzwa kasiMhasibu leo pamoto
Azam wapigwe ili kupunguzwa kasi
Ndivyo yalivyo haya mamboHongera ziende kwa Makambo kutupia goli zote mbili katika mazingira ambayo huwezi kutegemea.
Na lawama ziende kwa golikipa wa Azam kuruhusu kizembe goli zote mbili katika mazingira ambayo huwezi kutegemea atafungwa.
2-1Gooooooooo Nyuki 2