OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Imeishadakika ya ngapi..?
haha! kimelambanaImeisha
Yanga siku hizi wanafungwa kama mzigo wa kuniDuh azam wanataka kupigana ,ndio mpira ,hakuna timu isiyofugwa .labda yanga tu
Mnyama yeye kajimilikisha kuwa ni mali ya vyura a.k.a utopolo akija anampa tu.Kila nafsi itaramba asali kasoro Mnyama tu
Sema kadhamilia kwa Azam na UtopoloTabora United mwaka huu kadhamiria kuangusha vigogo.