Mkaweka na kikosi cha fainali aisee kama hujui hujui tu.Na kweli ni mapimbi mnashindwa kuchua ubingwa mnakomaa na kiatu
Twende kwenye takwimu za Kibu na MayeleMahmoud Bin Zuber anamwambia Saido wewe ndio mwamba. Maana yake mwamba kuliko bwana yule
Parade bila kiatu ni kigodoro tuKesho parade
Ikiwa hivyo Mbumbumbu wataweka wapi sura zao. 🤣Kiatu kwa mayele,saido ana goli la penat,Sheria waliweka wao ,wakatae tuone
Kila timu ina malengo yake nyie yakwenu kiatu sisi ubingwa tukutane next seasonMkaweka na kikosi cha fainali aisee kama hujui hujui tu.
Kipindi cha kwanza nilichoangakia Mayele kapata nafasi 10, kafunga 1.
Saido hajapata nafasi lakini kafunga.
Hiyo inatoa tafsiri gani?
Ukicheza na washuka daraja lazima ung'ae.
Ili Mayele awe mfungaji bora inatakiwa kwenye hiyo kigi Saido asiwepo
Saidoo kahusika ktk magoli mengi ikilinganishwa na Mayele.Mayele ana nafasi ya kupata tuzo ya mchezaji bora wa NBC PL 2013 ikiwa TFF haitafanya figisu kama hizi mechi 2 zilizompatia Saidoo ufungaji bora
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona kama Bangala kashangilia sana Goal?Full Time. Yanga 2 Prisons 0.
Fiston Mayele 1
Yannick Bangala 1
Saido kaipatia Makolokolo kombe gani?Mahmoud Bin Zuber anamwambia Saido wewe ndio mwamba. Maana yake mwamba kuliko bwana yule
Sawa kiatu cha Saido ndio mlienda kuzurula Dubai na Sudan kutafta kiatuSaidoo kahusika ktk magoli mengi ikilinganishwa na Mayele.
Pia , saido kacheza mechi chache magoli sawa na mayele.
Mayele mechi nyingi magoli sawa saido.
Anyway , sijajua tff wao Wana vigezo gani
Aliyelingana na Mayele tena kwa bao za kutengeneza.😅Sasa ni wakati wa kuangalia Mabingwa wa Ligi kuu nchini wakikabidhiwa Kombe lao. Naomba mashabiki msiohusika, mtupishe tafadhali. Ni kwa muda tu mfupi.
Ni wakati wenu huu na nyinyi kwenda kusherehekea na mchezaji wenu aliyebahatika kufungana magoli na mchezaji nguli wa Yanga, ndugu Fiston Kalala Mayele.
Kamuulize mwenyewe. 🙁Mbona kama Bangala kashangilia sana Goal?
Achana nao hao ligi ikianza wanataka ubingwa mwisho wa ligi wanatafta kiatuSaido kaipatia Makolokolo kombe gani?
Mayele miaka 2023 & 2023 kaipatia Yanga FC kombe la NBC PL, FA na bado 2023 kaipeleka fainali za FA, hata akili za kuvukia barabara hamna ninyi Mbumbumbu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mnadanganyana hapo kwenye kijiwe cha kahawa eeh subiri uone!!Kiatu kwa mayele,saido ana goli la penat,Sheria waliweka wao ,wakatae tuone
hakutatkiwa?Mbona kama Bangala kashangilia sana Goal?
Mkaweka na kikosi cha fainali aisee kama hujui hujui tu.
Kipindi cha kwanza nilichoangakia Mayele kapata nafasi 10, kafunga 1.
Saido hajapata nafasi lakini kafunga.
Hiyo inatoa tafsiri gani?
Ukicheza na washuka daraja lazima ung'ae.
Ili Mayele awe mfungaji bora inatakiwa kwenye hiyo kigi Saido asiwepo
wereva!Saido kaipatia Makolokolo kombe gani?
Mayele miaka 2023 & 2023 kaipatia Yanga FC kombe la NBC PL, FA na bado 2023 kaipeleka fainali za FA, hata akili za kuvukia barabara hamna ninyi Mbumbumbu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Angerudisha mpira kwa Mayelehakutatkiwa?
Inategemeana na sheria, CAF wanatoa kwa wote.Mbona ichi Cha mayele we kolo,Sheria unazijua ?
Apewe Saido ana umri mkubwa na assist nyingiInategemeana na sheria, CAF wanatoa kwa wote.
Ligi yetu hii sijui taratibu zake kama wataangalia goal involvement au assist au pengine nao watato kwa wote