Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mkaweka na kikosi cha fainali aisee kama hujui hujui tu.Na kweli ni mapimbi mnashindwa kuchua ubingwa mnakomaa na kiatu
Kipindi cha kwanza nilichoangakia Mayele kapata nafasi 10, kafunga 1.
Saido hajapata nafasi lakini kafunga.
Hiyo inatoa tafsiri gani?
Ukicheza na washuka daraja lazima ung'ae.
Ili Mayele awe mfungaji bora inatakiwa kwenye hiyo kigi Saido asiwepo