FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

Kuwakumbusha tu wale wakujiita Azam mna leo na kesho tu kuchange Id. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jumatatu mechi.πŸ˜‚
 
Ubingwa wetu na kiatu kwa Mayele. Huu msimu kuna waja wamenyanyasika sana, nasemajeeeee Mabingwa hawaongei na waliokosa ubingwa.
Yanga Rahaaaaaaaaaaa
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Bado TFF ikiacha fitina Mayele ana nafasi ya kubeba kiatu cha Mchezaji bora wa NBC PL 2023 maana kaipatia Yanga FC ubingwa wa ligi kuu TZ, Kaipeleka fainali za FA na hana ana nidhamu ya hali ya juu kupita maelezo kuliko mchezaji yeyote Bongo [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Goli 17 bila penati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…