Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kiufupi hamna mlichoambulia Msimu huu Mtani. 😂Endeleeni kujilisha upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi hamna mlichoambulia Msimu huu Mtani. 😂Endeleeni kujilisha upepo
Ooooh nilisahau kuwa mateso hayajaisha🤣🤣🤣🤣Kabisa yaani. Wapumzike sasa.
Japo bado jumatatu wana kibarua kingine tutakapocheza na Azam. 😅
Bado Dada. 😂😂Ooooh nilisahau kuwa mateso hayajaisha🤣🤣🤣🤣
Ingekuwa hivyo kusingekuwa na kigugumizi mpaka sasa.View attachment 2651400
Bado mmeshiba pilau za Bandari?
Vipi kati yao nani alikuwa na magoli ya penalty?View attachment 2651400
Bado mmeshiba pilau za Bandari?
MsuvaVipi kati yao nani alikuwa na magoli ya penalt?
Kigugumizi cha kufanyajeIngekuwa hivyo kusingekuwa na kigugumizi mpaka sasa.
Kumbe hio ni sheriaYaani uto sheria zao sijui wanazitoa wapiView attachment 2651392
Okay sasa kinacho wapigisha kelele ni nini?View attachment 2651400
Bado mmeshiba pilau za Bandari?
Bado TFF ikiacha fitina Mayele ana nafasi ya kubeba kiatu cha Mchezaji bora wa NBC PL 2023 maana kaipatia Yanga FC ubingwa wa ligi kuu TZ, Kaipeleka fainali za FA na hana ana nidhamu ya hali ya juu kupita maelezo kuliko mchezaji yeyote Bongo [emoji38]Ubingwa wetu na kiatu kwa Mayele. Huu msimu kuna waja wamenyanyasika sana, nasemajeeeee Mabingwa hawaongei na waliokosa ubingwa.
Yanga Rahaaaaaaaaaaa
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Goli 17 bila penatiBado TFF ikiacha fitina Mayele ana nafasi ya kubeba kiatu cha Mchezaji bora wa NBC PL 2023 maana kaipatia Yanga FC ubingwa wa ligi kuu TZ, Kaipeleka fainali za FA na hana ana nidhamu ya hali ya juu kupita maelezo kuliko mchezaji yeyote Bongo [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji3590]Tuchukue zetu kombe jioni tukapumuzike ikulu sijui watatupikia nini leo
Kuna watu walichoambulia ni kikombe cha chai tuNasikia wapishi wametoka Tunisia [emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji28]
Kwanza nchi yetu hiiTunasubiria ndege iturudishe dsm Hatutaki shida watoto wa mama
Majungu ndo kitu wanawezaMajirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273