FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

Kila lakheri kwa Yanga ya kimataifa πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
Tuchukue zetu kombe jioni tukapumuzike ikulu sijui watatupikia nini leo
 
Hivi mashabiki wa mbumbumbu wanafanya nini humu, na wakati na wana uzi wao!! Au ndiyo kiherehere!!

Mimi uzi wao hata kuufungua tu sijaufungua. Maana haunihusu.
Wanataka kumwangia Mayele
 
Hili Goli la huku Mayele hua ana bahati nalo Sana... Lazima afunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…