Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Wakiangalia na kesi ya Fei imeisha. 🤣🤣Hao boli limewashinda siku hizi wamebakiza mdomo
Dakika ya ngapi Kaka?Mzize ni mwehu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Kakoseshwa Goli hapa na bwana mdogo Clement MzizeMayele hajapata goli la 18 tu?
Mbona nina wasiwasi sana [emoji848]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Duuuh [emoji15][emoji2960]Kakoseshwa Goli hapa na bwana mdogo Clement Mzize
ww unacheza?uzi unacheza?
Kachukue kombe la uzi sasaww unacheza?
Mchoyo sana yule mtoto. 🙃Mzize ni mwehu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Muone na huyu classmate! Muda wote yuko huku!! Yaani hata hafahamu huu uzi haumhusu kwa siku ya leo.
Yule dogo anabebwaMzize Ni mpuuzi mmoja nmemtukana sana
relax!Kachukue kombe la uzi sasa
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Na kule kwao wanalalamika kama wajane!
Hahaha hakuna kituMm ni YANGA
Amefanya utoto na upuuzi tuYaani katukanwa nchi nzima