Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisa bestie afunge tumalize kazi.Mayele ongeza basi goli tumalize kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa bestie afunge tumalize kazi.Mayele ongeza basi goli tumalize kazi
Overrated sana yule dogo.Dogo ana papara sana.
Karibu jangwani mzee. Kesho Airport tukapokee Kombe.Afu we jamaa kumbe umeni mention huku?
Ndio maana nilikuwa najiuliza hii harufu ya wapi.
Unazingua sana
Hahahaaa. Lol.Afu we jamaa kumbe umeni mention huku?
Ndio maana nilikuwa najiuliza hii harufu ya wapi.
Unazingua sana
Mzinze akitaka wananchi wampende leo ni kutoa assist kwa Mayele. Akifunga Mzize goli lake halitakuwa na mzuka kwa wananchiClement afunge goli Wananchi wasimchukie.
Mayele aweke lingine, Makolo watulie.
Tutaficha wapi sura zetu mbele za Makolokolo sisi Utopolo FC Fans [emoji849][emoji30]Mikia watachonga Sana aisee
Daah!Jamani mayelee do something [emoji24]
niko nime4kaa paleee. saidoo atapata kamba tuMayele afanyiwe sub jaman kachoka sana
Daima mbele nyuma mwiko
TutajutaDah! Kile kibabu kimeongeza goli la pili!! Sasa kina magoli sawa na Mayele eti! Yaani kanachukua ujiko kwenye timu dhaifu tu.
Aisee Mayele anatakiwa aongeze goli. Maana mbumbumbu watafurahi sana akikosa tena kiatu cha ufungaji bora msimu huu.