Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Katupia aisee.. dah Saidoo kaweka la 3niko nime4kaa paleee. saidoo atapata kamba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katupia aisee.. dah Saidoo kaweka la 3niko nime4kaa paleee. saidoo atapata kamba tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Dah! Kile kibabu kimeongeza goli la pili!! Sasa kina magoli sawa na Mayele eti! Yaani kanachukua ujiko kwenye timu dhaifu tu.
Aisee Mayele anatakiwa aongeze goli. Maana mbumbumbu watafurahi sana akikosa tena kiatu cha ufungaji bora msimu huu.
Hajachoka bwana acha izo.Mayele afanyiwe sub jaman kachoka sana
Daima mbele nyuma mwiko
Ukipewa nafasi ya kuchagua chochote unachokitaka usichague hela chagua SimbaKaribu jangwani mzee. Kesho Airport tukapokee Kombe.
sisi hilo hatuna kazi naloooo... leo ndo tutajua kipi ni kipiiiiKatupia aisee.. dah Saidoo kaweka la 3
Kwani hizo team dhaifu ambazo Simba Sc anachukulia ujiko, nyinyi hamkucheza nazo?Dah! Kile kibabu kimeongeza goli la pili!! Sasa kina magoli sawa na Mayele eti! Yaani kanachukua ujiko kwenye timu dhaifu tu.
Aisee Mayele anatakiwa aongeze goli. Maana mbumbumbu watafurahi sana akikosa tena kiatu cha ufungaji bora msimu huu.
Huna timu wwKiukweli Simba hatuwawezi. Wakiamua lao wanafanikisha.
Oneni sasa Mayele wetu aliotea tu mwanzoni. Daaaah kweli Simba ni hatari.
Daima mbele mwiko nyuma.
Una haki kusema sina timu. Yaani tulikuwa tunaongoza ufungaji magoli kwa tofauti ya 6. Sasa twalingana na wale Simba.Huna timu ww
Bado dakika ngapi Kaka?Dah! Halafu tunacheza na hawa wazee wa kukamia na kucheza rafu za kipuuzi!! Aisee kazi ipo.
Acha kuleta ubishi wewe. Polisi Tanzania ilishajichokea dakika za mwisho. Na ndiyo maana imegeuka kuwa kapu la magoli.Kwani hizo team dhaifu ambazo Simba Sc anachukulia ujiko, nyinyi hamkucheza nazo?
Unajua muda mwingine unatakiwa uongee kitu baada ya kujifikiria.
Ni dk ya 86 sasa.