FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

Bado dakika 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089]
 
Dah! Kile kibabu kimeongeza goli la pili!! Sasa kina magoli sawa na Mayele eti! Yaani kanachukua ujiko kwenye timu dhaifu tu.

Aisee Mayele anatakiwa aongeze goli. Maana mbumbumbu watafurahi sana akikosa tena kiatu cha ufungaji bora msimu huu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Kile kibabu kimeongeza goli la pili!! Sasa kina magoli sawa na Mayele eti! Yaani kanachukua ujiko kwenye timu dhaifu tu.

Aisee Mayele anatakiwa aongeze goli. Maana mbumbumbu watafurahi sana akikosa tena kiatu cha ufungaji bora msimu huu.
Kwani hizo team dhaifu ambazo Simba Sc anachukulia ujiko, nyinyi hamkucheza nazo?

Unajua muda mwingine unatakiwa uongee kitu baada ya kujifikiria.
 
Kwani hizo team dhaifu ambazo Simba Sc anachukulia ujiko, nyinyi hamkucheza nazo?

Unajua muda mwingine unatakiwa uongee kitu baada ya kujifikiria.
Acha kuleta ubishi wewe. Polisi Tanzania ilishajichokea dakika za mwisho. Na ndiyo maana imegeuka kuwa kapu la magoli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom