Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kila lakheri kwa Yanga ya kimataifa ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka sasa yupo mbelemayele anaondoka na kiatu kama kawaida yake.
π€£π€£π€£π€£π€£Hivi mashabiki wa mbumbumbu wanafanya nini humu, na wakati na wana uzi wao!! Au ndiyo kiherehere!!
Mimi uzi wao hata kuufungua tu sijaufungua. Maana haunihusu.
Muone na huyu classmate! Muda wote yuko huku!! Yaani hata hafahamu huu uzi haumhusu kwa siku ya leo.USM ALGER BINGWA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Biriani na Urojo....Tuchukue zetu kombe jioni tukapumuzike ikulu sijui watatupikia nini leo
Wanataka kumwangia MayeleHivi mashabiki wa mbumbumbu wanafanya nini humu, na wakati na wana uzi wao!! Au ndiyo kiherehere!!
Mimi uzi wao hata kuufungua tu sijaufungua. Maana haunihusu.
Sijapendaπππ€£π€£π€£π€£π€£
Na kule kwao wanalalamika kama wajane!
MABINGWA HAWANAGA KELELE KAMA MAKOLOHuku mbona kumepoa sana?
Tunasubiria ndege iturudishe dsm Hatutaki shida watoto wa mamaNasikia wapishi wametoka Tunisia [emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji28]
Adui muombee njaa..Hivi mashabiki wa mbumbumbu wanafanya nini humu, na wakati na wana uzi wao!! Au ndiyo kiherehere!!
Mimi uzi wao hata kuufungua tu sijaufungua. Maana haunihusu.
uzi unacheza?Huku mbona kumepoa sana?
Unyama tu MbonaBiriani na Urojo....