Hhahahhaha watapata tabu sanaMajirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273
Wapo speed balaa, halafu wanajisifu Uzi wetu umedolola πππππ ila makoloMajirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273
Kila la kheri kwetuKipindi cha pili kimeanza...
Maombi yote Kwa fistooooooooni Kalala Mayele
Wapo speed balaa, halafu wanajisifu Uzi wetu umedolola πππππ ila makolo
Hao boli limewashinda siku hizi wamebakiza mdomoWapo speed balaa, halafu wanajisifu Uzi wetu umedolola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila makolo
Kabisa Dada.Hakika, wampe pasi za kutosha.
Beti kistaarabu π€£π€£π€£π€£ mimi pia nimeweka over two ila siangalii mpiraWajameni mnaoangalia mpira goal 3 yanga ztafika au nihesabu maumivu?
Na iwe hivyo.mayele anaondoka na kiatu kama kawaida yake.
Tena wanachonga Sana , kiatu Tu je ingekuwa kikombe si tusingelala , Acha Mayele achukueHao boli limewashinda siku hizi wamebakiza mdomo
π€£π€£π€£Majirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273
Hahahaha , niliacha Anaulizia benchi kuna Nani? Kumbe kakimbia huko πππππScars amezira kuangalia kipindi cha pili kisa hajapenda subsπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Muda huu. Bonge la mechi.Mbeya City na Kinondoni saa ngapi?
Mayele hajapata goli la 18 tu?Ukame FC