Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahahhaha watapata tabu sanaMajirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273
Wapo speed balaa, halafu wanajisifu Uzi wetu umedolola 😂😂😂😂😂 ila makoloMajirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273
Kila la kheri kwetuKipindi cha pili kimeanza...
Maombi yote Kwa fistooooooooni Kalala Mayele
Wapo speed balaa, halafu wanajisifu Uzi wetu umedolola 😂😂😂😂😂 ila makolo
Hao boli limewashinda siku hizi wamebakiza mdomoWapo speed balaa, halafu wanajisifu Uzi wetu umedolola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila makolo
Kabisa Dada.Hakika, wampe pasi za kutosha.
Beti kistaarabu 🤣🤣🤣🤣 mimi pia nimeweka over two ila siangalii mpiraWajameni mnaoangalia mpira goal 3 yanga ztafika au nihesabu maumivu?
Na iwe hivyo.mayele anaondoka na kiatu kama kawaida yake.
Tena wanachonga Sana , kiatu Tu je ingekuwa kikombe si tusingelala , Acha Mayele achukueHao boli limewashinda siku hizi wamebakiza mdomo
🤣🤣🤣Majirani wanakimbiza uzi kwa kumuongelea mayeleView attachment 2651273
Hahahaha , niliacha Anaulizia benchi kuna Nani? Kumbe kakimbia huko 😂😂😂😂😂Scars amezira kuangalia kipindi cha pili kisa hajapenda subs🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Muda huu. Bonge la mechi.Mbeya City na Kinondoni saa ngapi?
Mayele hajapata goli la 18 tu?Ukame FC