Mkuu, usajili ni pata potea. Unaweza utafanikiwa au usifanikiwe ila kiujumla, Yanga wana kikosi chembamba msimu huu.Yanga imeonesha ina ufinyu wa wachezaji wenye ubora ukiachana na wanaonza kikosi cha kwanza basi benchi hakuna wachezaji wa maana wa kuweza kubadilisha mchezo. Azam wamefanya sub nyingi na kuielemea Yanga iliyokata moto kipindi cha pili.
Ni uthibitisho tosha kuwa Hersi kuvurunda usajili msimu huu
Sawa ila Yanga anaongoza 3-0Tupo busy na kombe la dunia
Wao 3 wameshinda,nyie 3 mmeshindaFull time
mkuu,kwenye avator yako nimeona kama vile una plant ya machimbo? Una mashine za kusaga mawe,naomba tuwasiliane pm tubadilishane uzoefu mimi nipo igunga.Nani anataftwa huko