FT: NBC Premier League | Yanga SC 3-0 Azam FC | Amani Complex | 24/6/2026 | Yanga wanaukalibia ubingwa

Mkuu, usajili ni pata potea. Unaweza utafanikiwa au usifanikiwe ila kiujumla, Yanga wana kikosi chembamba msimu huu.
 
Niwe tu mkweli. Penati ya Simba dhidi ya Mtibwa iliyozaa goli lao la kwanza, haikuwa halali. Sababu Shomary Kapombe alianza kuanguka hata kabla ya kuguswa na yule beki

Lakini pia penati ya Yanga nayo iliyozaa goli la pili na yenyewe ilikuwa siyo halali kwa mtazamo wangu kwa kuwa Depu na yeye alianza kuanguka mapema kabisa kabla ya kuguswa na beki! Ni bahati mbaya tu hatuna VAR ya kujiridhisha.

All in all, nimefarijika kuona Azam wanafungwa kwenye hii mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…