DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Watafungwa tena, dah
Yoyote Tu Mpwa ila kuna MTU atakula kichapo Leo tena, zingatia neno TENAMashujaa
Makosa ya kibinadamu ya jana haujatosheka nayo?Ni mda wakushuhudia makosa ya kibinaduma
Siku hizi tangu aondoke Mwinyi Zahera lile kapu mlilokuwa mnachangishia hela mmeliacha kwa Mzee Mpili.Kila la heri timu ya wananchi
Mnatafuta faraja fakeSiku hizi tangu aondoke Mwinyi Zahera lile kapu mlilokuwa mchangishia mmeliacha kwa Mzee Mpili.
Msitupe mbachao kwa msala upitao😃😀😄
Wale waliokuwa wanajadili kung'olewa kwa viti badala ya matokeo ya mechi kati ya CS Sfaxien na Simba ndiyo waliokuwa wanatafuta faraja😄😀Mnatafuta faraja fake
Yanga bingwa