FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

Mashabiko wa Yanga na haha nyie lol, Mwaka wenu huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utopolo mbona kumepoa hivi? Inaonekana ni ubingwa wa makandokando huu. Yaani kurasa 7 tu hadi sasa!!?
Msimu huu utopolo makombe yao yote ni makondo kando. Walianza kwenye ngao ya hisani ni makando kando, nusu fainali ya Azam ni makando kando hata wakibeba hilo kombe ni kwavile kaingia kimchongo fainali. Hili la ligi kuu nalo ni makando kando vile vile
 
Halafu utakuta mida hii bado kuna mshabiki wa Simba bado yuko Macho kodo [emoji15]

Hebu laleni huko, Pumzisheni Fuvu Wananchi tuna jambo letu muhimu la kitaifa! [emoji2955]

We are the Champions of NBC PREMEIER LEAGUE 2021/2022!

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
😅😅 Manake ncheke mie. Lol
 
Back
Top Bottom