FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

Hatimae mbuzi kauma mtu....basi sherehe imetosha tuangalie mambo ya muhimu zaidi ya kulitea maendeleo taifa
 
Tulisajili kikosi kizuri,

Tumefanikiwa kuitia kwapani ngao ya jamii

Tumefanikiwa kutinga nusu fainali ASFC

Tunakaribia kubeba ubingwa wa ligi kuu, hata Kama siyo Leo lakini tuna asilimia nyingi

Tumeweka record ya kutofungwa kwenye ligi.

Nini Tena kitatushangaza Wana jangwani , Kila kitu tunakiona ni Cha kawaida
Nusu fainali ipi tena?
 
Back
Top Bottom