Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Dakika 27 lazima wapigwe KHAMSA.
Anazingua sana bora aachie bukta.Azizi Ki atafutiwe Boxer
Wamekabaa weeee mwishowe wakapanuaSafi Aziz kakabwa haswa
Kama la Penguin Fc inavyomnyanyasa Mafia Soccer Power mpaka hataki tena kumsikia Mr Penguin.Sasa subirini burudani ya soka kipind cha pili
Pila Gamondi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
💛💚💛💚💛💚Aaaah kumbe familiaa[emoji172][emoji172][emoji172]
Azizi [emoji360]
Sikutegemea hilo goli tusi zito limenitoka nilipoona inavyompita kipa...😂Lilikuwa ni swala la muda tu.
Lilikuwa ni swala la muda tu.
Kabisa Mkuu.Sasa subirini burudani ya soka kipind cha pili
Pila Gamondi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Uvaaji wa hovyo ule bora mlege wa Diarra kwasababu upo covered na shatiAnazingua sana bora aachie bukta.
Muhimu Makolo wateseka mengine hatujali.JKT wamecheza vizuri kipindi cha kwanza
Ahmedy Arajiga alikuwa mjadala sana msimu ulioisha.
Na sasa amekuja kuendelea pale alipoishia
Atoke au aendeleeGamondi toa Aziz Ki ingiza Pacome tuimarishe ulinzi, hali si hali
WamezijuliaHizi foul za Aziz wameshazijulia
Sa tuteseke kwa lipi?Muhimu Makolo wateseka mengine hatujali.