Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
DP WorldAfungwe na timu ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DP WorldAfungwe na timu ipi
Mmecheza vibaya saaana.Lilikuwa ni swala la muda tu.
Wakicheza tofauti lazima wapigwe nyingi,kwa hiyo wameamua kupunguza goli nyingi iwe aibuNaona kama wanacheza total football ambayo sio yakushambulia.
Kabisa ndugu yangu. Hili tunakopea kabisa yaani. 🤣Goli la Azizi unaombea MKOPO.
Ndio ndio.💚💛Khamsa kama kawaida ni swala la muda tu.
Hata Sanchez na wengine Ulaya walianzisha kukunja bukta hawakunji kiasi kuwa kama mtu kavaa chupi kama anavyofanya ndio maana kuna gemu ya kimataifa refa alimuamuru akunjue asilete uhuni.Uvaaji wa hovyo ule bora mlege wa Diarra kwasababu upo covered na shati
Atoke Koni koni, Kii kwa kuwa amefunga, aendeleeAtoke au aendelee
Hao magarasa wamepata clear chances ngapi wakakosa?Mmecheza vibaya saaana.
Konkoni ni garasa
Musonda garasaaa
Mzee WA kuchomekea hamna kitu anakimbia kimbia tuu
Bigup jkt
Daah💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Haya ni yako jirani.Mmecheza vibaya saaana.
Konkoni ni garasa
Musonda garasaaa
Mzee WA kuchomekea hamna kitu anakimbia kimbia tuu
Bigup jkt
Nyingine mbili alikosa lakini...Wamezijulia
Anakusisimua na kukusababishia hamu Kali ya mapenzi!?Uvaaji wa hovyo ule bora mlege wa Diarra kwasababu upo covered na shati
Agiza soda mrembo,nalipa💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Morroco anakunja kistaarabu ila mwana sasa ndo kaifanya pampasiHata Sanchez na wengine Ulaya walianzisha kukunja bukta hawakunji kiasi kuwa kama mtu kavaa chupi kama anavyofanya ndio maana kuna gemu ya kimataifa refa alimuamuru akunjue asilete uhuni.
Wasiruhusu goli mingiKhaaa jambo gani sasa [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Timu yangu Simba inacheza lini na JKT jamani!?..tutaweza kweliAlooo JKT wazuri mno, sema kinachoeaponza ni ujinga na ubabe.