FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

Mmecheza vibaya saaana.

Konkoni ni garasa


Musonda garasaaa

Mzee WA kuchomekea hamna kitu anakimbia kimbia tuu

Bigup jkt

Unaumia ukiwa wap mkuu [emoji23][emoji23] usikae ndan mwenyewe ukajinyonga
 
Yanga wapo 12 uwanjani

Kuna mchezaji wao mmoja kaingia na filimbi
Utakuwa shoga wewe. Refa ambaye muda wote anawalinda jkt kwa uchezaji wao mbovu wa kurukia wachezeaji wa Yanga, amewanyima Yanga penati ya wazi, Jkt walipaswa kuwa pungufu paka sasa halafu unaleta mambo ya kishogashoga hapa eti anawabeba Yanga? Acha ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…