Yanga ipelkwe tu EPL ikashindane na Manchester City maana ndio level mojaHabari wanamichezo wa JF? Bila Shaka mpo poa mkiendelea na majukumu yenu ya kulijenga Taifa.
Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC PREMIER LEAGUE, Dar Young Africans maarufu kama Yanga SC watakua wenyeji wa JKT Tanzania. Mchezo utakaanza mishale ya saa moja kamili kutoka viunga vya Chamazi complex stadium pale mbagala.
Hii itakua mechi ya pili Kwa Yanga ambayo mechi yake ya Kwanza ilimkandamiza bila huruma KMC FC Bao tano Kwa nunge. Pamoja na hayo lakini Yanga ilipiga pasi nyingi kiasi cha kufanya watazamaji wabaki Meno nje Kwa furaha ya soka Safi la pasi nyingi maarufu kama Pira Gamondi.
Kwa upande wa JKT Tanzania wao mechi ya Kwanza walipata ushindi muhimu mbele ya wauaji wa kusini Namungo FC Kwa kusinda Goli 1 bila. Bao lilipachikwa na kiungo wao fundi Martin Kigi na kujihakikishia pointi tatu muhimu.
Katika mechi tano za mwisho Kati Yao, Yanga kashinda mechi nne huku JKT Tanzania wakiambulia Sare moja Tu ya Bao moja Kwa moja. Mechi ya mwisho kukutana Yanga walishinda Bao mbili bila, Goli zikifungwa na mawinga Kisinda na na Yakuba songne. Je, Yanga wataendeleza utabe wao au JKT Tanzania watafuta uteja?
Kwa hayo na mengine mengi, Basi andaa macho na masikio leo saa 1:00 jioni katika dimba la Azam Complex Stadium Chamazi Moto Utawaka. Updates zote utazipata kupitia huu Uzi..
Kila la kheri Wananchi [emoji169][emoji172]
#Daimambelenyumamwiko
Inabidi wazowee tu. 😀😀Kuna watu wanamaumivu makali sana kwa matokeo haya 😀😀😀
Sijui wanahitaji nini.Tumewaona Mkuu. 😂😂
Mbona huku update matokeo ya first half?😀😀😀Mpk dakika hii hakuna nafasi ya wazi iliyotengenezwa kwa timu zote mbili.
44dk
Hawa ni wa kupuuzwa siyo kuleta uswahili wao kila mahaliUkiona mtu from nowhere anamuita mwenzie shoga basi jua kuwa kuna tatizo mahali. Yawezekana mwenyewe ni shoga lakini bado yupo kwenye denial. Haiingii akilini just from nowhere umuite mtu shoga bila trigger yo yote!
VPGamondi ni kocha mzuri/bora kuwahi kutokea Tanzania ila hatotoboa kwenye mechi za kimataifa kutokana na timu washambuliaji wenye ubora.
Hata wachovu El Merreikh wanaweza kupeleka kilio jangwani.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Akipata nafasi atafunga tu,Basi Max Malipo anavyopenda sifa nae atafunga
Bila shaka ni zile Sub zao tatu.Sijui wanahitaji nini.
Mbona mwanzoni waliweza kujilinda vizuri
Wanapata tabu wanaomba game iisheMmeona walivyo hawa wajinga JKT???
Endelea kukaa tu hapo, inawezekana umekalia kigogo hapoNipo pale, mwananchi hatoboi hapa
Huwezi kumuona hapa saiz, amejifungia chooni analiaVP
Tuendelee na utabiri wako au umebadili
Ficheni kamba na baadhi ya sumu tusije kuwakosa watani zetu [emoji23]Kuna watu wanamaumivu makali sana kwa matokeo haya [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ndo unajua maana ya ushabiki, saluteUshabiki pembeni, UTOPOLO ni wa moto.