π π Tanga haijawahi kushindwa.Tanga wanaendelea na mapishi ya vitafunwa
View attachment 2732768
Shida tunaocheza nao watakubali pira kama lile lichezwe dk 120,jkt jana wakafanya sub dk ya 1 kabla ya mpira kwisha kupoteza muda πAcha kabisa Swahiba.
TFF watufikirie hebu. π
Hao furaha kipindi cha usajili na mabonanza uwa mpk wananenepa,ligi ikianza tu wanaanza kukonda πKwa hali hii Mtani mpaka ligi inaisha utakuwa umechoka sana yaani. π π
Hatari sana Swahiba. πShida tunaocheza nao watakubali pira kama lile lichezwe dk 120,jkt jana wakafanya sub dk ya 1 kabla ya mpira kwisha kupoteza muda π
ππHao furaha kipindi cha usajili na mabonanza uwa mpk wananenepa,ligi ikianza tu wanaanza kukonda π
Naunga mkonoKila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
Unasemaje??? Ongeza sauti nakupata kwa tabu.....Sahau kwa hilo, mpaka sasa yanga kabanwa mbavu na maafande π
Kapumulie kambiniHebu mniache kwanza nipumue....
Kambi ipi? ..kambi ya fisi au umefungua kambi mpya tuje tupumulie huko..Kapumulie kambini
Jkt hukoπ€£π€£π€£Kambi ipi? ..kambi ya fisi au umefungua kambi mpya tuje tupumulie huko..
Niazime gwanda πJkt hukoπ€£π€£π€£
(Nje ya mada) mkuu Steve, kuna ile stori ya wabibi wanapokezana jicho π€£π€£π€£π€£ tamu sana..Kama Chama.