Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😅😅 Tanga haijawahi kushindwa.Tanga wanaendelea na mapishi ya vitafunwa
View attachment 2732768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅 Tanga haijawahi kushindwa.Tanga wanaendelea na mapishi ya vitafunwa
View attachment 2732768
Shida tunaocheza nao watakubali pira kama lile lichezwe dk 120,jkt jana wakafanya sub dk ya 1 kabla ya mpira kwisha kupoteza muda 😀Acha kabisa Swahiba.
TFF watufikirie hebu. 😀
Hao furaha kipindi cha usajili na mabonanza uwa mpk wananenepa,ligi ikianza tu wanaanza kukonda 😀Kwa hali hii Mtani mpaka ligi inaisha utakuwa umechoka sana yaani. 😅😅
Hatari sana Swahiba. 😀Shida tunaocheza nao watakubali pira kama lile lichezwe dk 120,jkt jana wakafanya sub dk ya 1 kabla ya mpira kwisha kupoteza muda 😀
😀😀Hao furaha kipindi cha usajili na mabonanza uwa mpk wananenepa,ligi ikianza tu wanaanza kukonda 😀
Naunga mkonoKila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
Unasemaje??? Ongeza sauti nakupata kwa tabu.....Sahau kwa hilo, mpaka sasa yanga kabanwa mbavu na maafande 😂
Kapumulie kambiniHebu mniache kwanza nipumue....
Kambi ipi? ..kambi ya fisi au umefungua kambi mpya tuje tupumulie huko..Kapumulie kambini
Jkt huko🤣🤣🤣Kambi ipi? ..kambi ya fisi au umefungua kambi mpya tuje tupumulie huko..
Niazime gwanda 😀Jkt huko🤣🤣🤣
(Nje ya mada) mkuu Steve, kuna ile stori ya wabibi wanapokezana jicho 🤣🤣🤣🤣 tamu sana..Kama Chama.