Jamani tunaomba line up ya leo ya mabingwa wa ligi ya NBC 2023 /2024
Ndio maana ya KIKOSI KIPANA. sasa subiri zile kenge siku ziambiwe Chama na Baleke hawapo uone vilio vyakePacome, Moloko na Fred wamepatwa na nini?
Gamondi jeuri sana, pacome hata benchi hayupo...Ndio maana ya KIKOSI KIPANA. sasa subiri zile kenge siku ziambiwe Chama na Baleke hawapo uone vilio vyake
Na hapo haujazeekaπππKila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
Wamepata majeraha mchezo ulopita Gamond voicePacome, Moloko na Fred wamepatwa na nini?
Nimeona hapa kocha kasema wana majeraha.Mwenyewe nimeshtuka
[emoji1787][emoji1787]Na hapo haujazeeka[emoji134][emoji134][emoji134]
Hakika My dear. ππππππKwa pamoja tunaitakia chama letu ushindi wa kishindo ππππ
Upo chamazi studium au upo kibanda umiza ?Kwa pamoja tunaitakia chama letu ushindi wa kishindo ππππ
Kibanda umiza siti ya mbele kabisa.....nmeacha wali jikoni, dakika chache tu yanga wakifanya jambo lao nakimbia homeUpo chamazi studium au upo kibanda umiza ?