Hatari unaweza kudhani wapo Mohammed V CasablancaWamefungulia vibe kama lote
Dogo ana hasira.Feitoto anatoka jasho tu hapa
Kweli mkuu, joto lipungue pale juuDodoma ashinde hii mechi.
Hicho ndokipimo bongo maisha magumuWawe wanawanunulia tiketi.
Mi napenda sana kuona watu wengi uwanjani