Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marefa wa hii ligi wa hovyo, Azam kanyimwa goli, wakati sio offside.Game On Dakika ya 23.
Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
Mmh kumbeHatujui sasa pengine kamera zilichelewa kunasa offside
It was a very bad move kutoka Yanga,ameenda kwenye timu ambayo haina ushindani wowote au malengo ya maana, nani atamwona huko azam heri angeenda hata Simba,hana ukali wowote tena kashuka sanaVipi kijana alieibiwa demu wake anaonesha makali?
Wamechoka, wanakatikaDodoma Jiji wanaanza kupwaya.
Watapigwa
Sidhani kama Simba watamtakaAtarudi Simba Dirisha dogo.