FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

Dakika 78"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Kona wanapiga Azam inakuwa butu
 
Dakika 80"
Dodoma Jiji 0-0 Azam.

Refa hawako fare
 
Wanamsonga songa refa naona hawaamui kwa usahihi
 
Faulu kuelekea Dodoma Jiji
 
Wanafanya mabadiliko timu zote mbili
 
Imetoka Njeee hapa
 
Dakika 85"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Hivi tokea Fei awapige Kitayosce wakiwa 8 ameshapata goli jingine?
 
Dakika 89"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Dakika 90 zimekamilika.
Nyongeza ni 4
 
Kona Azamu wanapata
 
Back
Top Bottom