FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

Inapigwa faulu kuelekea Azam
 
Kuna timu zikikutana na Simba zitakula 7
 
Azam na wenyewe kama pumzi imekata pia
 
Dakika 70"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Tuacheni utani Azam kumfunga Simba au Yanga huwa wanaotea tu au kuwekeza nguvu kwenye mechi ya simba au Yanga,lakini unaona kabisa hizi timu zingine ni size yao wanalingana kila kitu,ndo maana mwisho wa siku msimamo Yanga akiongoza au Simba akiongoza unakuta mtu wa tatu yuko nyuma hata points 20
 
Hakika wana timu ya kawaida sana
 
Shambulizi kali linatokea kwa Dodoma.

Kona
 
Tuacheni utani Azam kumfunga Simba au Yanga huwa wanaotea tu au kuwekeza nguvu kwenye mechi ya simba au Yanga,lakini unaona kabisa hizi timu zingine ni size yao wanalingana kila kitu,ndo maana mwisho wa siku msimamo Yanga akiongoza au Simba akiongoza unakuta mtu wa tatu yuko nyuma hata points 20
Uko Sahihi
 
Dakika 73"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Sub. ya Azam
Sopu Inn
Idriss Out
 
Dakika 75"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Azamu wamekoswa koswa hapa
 
Fei amekosa nafasi ya wazi hapa.

Ukiwa na Talent ukikosa Akili ni hewa
 
Back
Top Bottom