Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila naona kama draw ya 0-0 ,ushambuliaji mgumu sana kwa ile aina ya ushambuliajiAzam wanazidi
Azam wana safari ndefu sana, anaanza Diao winga wakati mawinga wapo nje. Hii Azam ni timu ya kawaida msimu huu. Yanga na Simba wataendelea kuwa namba Moja na mbili.Game On Dakika ya 23.
Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
Sawa ila Kwa nini mwili jumba aanze kama winga wakati Lyanga na Nado wapo. Kiufundi imekaaje hiyo.Bangala ameumia akaingia Lyanga