FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Tigo Postpaid Bando za bei nafuu sana kwa Tsh 15 unapata Gb 15 mwezi mzima , karibu Dm kwa maelezo zaidi.
Sasa Tshs 15 naipata wapi au nikupe Tshs 50 uniunge 45 gb?
 
NTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Na kombe chukueniiii
 
Kwahyo ntiba ndo ana magoli 15 kwa mechi moja tuu five goals duuuhh...
Unajua kuna uto kaanzisha uzi kule sikumuelewa anamaanisha nini kumbe kaumia..lazima aumie sio kwa mkando huo
 
Match inayofataaaa, Saidoooo afunge chwaaaapppp [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mayelee match inayofata lazima achezeeee
Atarudiiii tyuuh.
Kumbuka anacheza na prison?!!usisahau huwa wanakaba hadi kivuli
 
Raha ya kuishi bongo

Habari ya mjini saizi sio medali na kuitwa ikulu kulishwa ubwabwa.

Habari ya mjini ni Saido kupiga goli 5 kwenye mechi moja na akiwa na deni la goli moja kutoka kwa mpinzani wake.
Hiyo inaitwa agenda shifting
 
Walimtuma kipemba kumvunja baleke wakasahau kuna saidoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]poor utopolo!!
 
Ila SAIDOO jmn yule jamaa anawez asifunge mechi mbili ila akirud anaweka zake goli 6 ni kitu cha kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…