Asante sana mkuu[emoji119][emoji120]
Inaitwa hodi MayeleKwahyo ntiba ndo ana magoli 15 kwa mechi moja tuu five goals duuuhh...
Unajua kuna uto kaanzisha uzi kule sikumuelewa anamaanisha nini kumbe kaumia..lazima aumie sio kwa mkando huo
Kukaa kimya ni heshima zaidiHuu ni upungufu wa akili. Huu uzi ni wa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee kawalekee kwani[emoji28] Unasahau haraka sana! Chelfika
Poleeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!Sisi tena...
Nyie temeni nyongo tu. Maana imejaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbuka anacheza na prison?!!usisahau huwa wanakaba hadi kivuli
SauwaaaaaMayele anacheza na Prison ni mechi ambayo haiwezi kuwa rahisi hivyo nafasi ya yeye kufunga ni ndogo kuliko Saido ambaye anacheza na Coastal tena tukiwa nyumbani