FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Mnavyo pambana sasa utazani ni fainali kumbe ni kukamilisha ratiba tu[emoji91][emoji81]full mkoko
Nyie mpaka mnasawazisha hamkupambana? Mpaka mnamkanyaga kipa lengo lilikuwa nini?
 
Kennedy anaokoa mpira ambao ulikuwa unaenda kuwa hatari
 
41'
Ibrahim anapiga shuti kali limaenda nje ya lango
 
Bocco alimpiga chenga kipa lakini shuti lake limeblokiwa na beki
 
Back
Top Bottom