Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
ok, naona mnaongoza 4-0Nawaombea Mtibwa ushindi maana sisi simba hatuna haja na ligi ya ndani sisi wa kimataifa zaidi tumechukua kombe la makundi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tuongeze mbili tu zinatoshaSimba tutumie hii fursa kupiga goli nyingi jamani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Nimekupata hapo kwenye fursaSimba tutumie hii fursa kupiga goli nyingi jamani
Hivyo hivyoOnea dagaa samaki huziwezi
Jitu la hovyo ni wewe unayepiga bomu mochwari halafu unashangilia umeuaNyie mijitu ya HOVYO. Champion league since 1998. WAJINGA KWELI NYIE