FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Nakumbuka kuna msimu mtibwa waliwafanyia figisu kubwa simba ili yanga awe bingwa.Mechi ya simba ilipigwa manungu full maji,at the same time na yanga wakachezea jamhuri na wakafungwa kirahisi huku ile ya simba wakikazaaaaa.

Hiki kikombe na wakinywe tu
 
Nchi hii inahitaji maombi sana,hivi huyu refa kapewa kiasi gani?aibu hii ni ya nchi.
 
Simba wanamiliki mpira

Chama
Akpan
Kapombe

Gadiel
Banda

Mtibwa wanaokoa
 
Habari mpya ni kwamba, kumbe Simba wametoa bahasha kwa wachezaji wa mtibwa ili wafanye faulo makusudi watolewe. Hii yote imefanyika ili kuwatuliza mashabiki wao baada ya kipigo cha Azam
 
Hawa Simba wa dakika 80 za mwisho ma.fala Sana. Badala ya kufunga wanacheza utoto. Tunataka goli nyingiiii ebho.
 
Inonga
Bandaaaaaa

Ahmad Juma Ahmad anadaka mpira ule
 
Habari mpya ni kwamba, kumbe Simba wametoa bahasha kwa wachezaji wa mtibwa ili wafanye faulo makusudi watolewe. Hii yote imefanyika ili kuwatuliza mashabiki wao baada ya kipigo cha Azam
Mitopolo haiamini Simba inavyotoa doses za uhakika
 
Back
Top Bottom