Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ndani ya hizi dakika chache mnaweza kuzungumza lolote kuhusu Akpan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna timu ambayo haijawahi fungwa 🐸 pia tushawalaza hizo 5We nyonyo huoni aibu???kama unaujua mpira ungegongwa na azam?red 2 kweli?
Safi sanaMkonooooooo kitu mkonoooo
Kasomee urefaMkono na nyekundu 2
Hata Al hilal hatuwaweziBila kadi nyekundu hawa hawawezi kumfunga yeyote alie serious
Kwa hiyo nawewe umeridhika na hiki kiushindi chembamba?
Mkonooooooo kitu mkonoooo
Ona aibu basiMkonooo mkonoooo mkonoopo
Aibu ilikuwa jana... hata Makambo mwenyewe alishangaa ile penalty ilitoka wapi...We nyonyo huoni aibu???kama unaujua mpira ungegongwa na azam?red 2 kweli?