FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Mikia makolo manyelo mbumbumbu
Hapa natumai mtapunguza malalamiko
 
Uwiiiiiiii yaniii navyosikiloza mtangazaji wa Azam anavyoongea kwa mbwembwe mpk rahaaaaa yaniiii
giphy.gif
 
Wanasema Simba akifungwa basi mnaofata kucheza nao hakikisheni mnaangalia hiyo mechi alofungwa lazima kuna makosa yalifanyika so angalieni makosa hayo. Wachambuzi hapa nawasikiliza
 
We una nini huko kimataifa?kuishia robo?we kwelo kolo,chukua kombe ujitape sio huu upuuzi
Ubingwa mara 28 (wa kihistoria kama mnavyouita) ila ndani ya hiyo mara 28, ukishindwa kuongeza idadi ya team za kushirikii michano ya CAF,ulishindwa hata kuingia makundi hapo mara mbili tu[emoji23].

Ok basi sina kombe, lakini hata hizi juhudi za kuhakikisha tunaingiza team 4 kwenye mashindano ya CAF nazo ni kazi bure?

Acheni kuwa MABUMBUNDA[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo uwiii
 
Back
Top Bottom