FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Kadi ya njano ya pili kwa Kasian Ponela

Kadi nyekundu kwa Kasian Ponela
 
Hii mechi nimeona nisiendelee kuangalia maana ni kichefuchefu ushindi umekosa ladha kabisaaa.. Yaani refarii analazimisha timu Moja wachezw 8 uwanjani??? Bladfakeni refarii
 
Back
Top Bottom