joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nasikia kawafanya tena wekeni video nione 😂Anaingia Dube mtangazaji anakwambia "mabeki wa Simba wanatakiwa kufanya kazi mara mbili zaidi, kwavile wana kumbukumbu mbaya sana kwa namna Dube alivyokuwa anawafanya huko nyuma
Mungu ibariki SIMBA (The Gallants)
😅😅 hilo hilo Mkuu.topufo
Kombe la chaiHivi baada ya hapa sisi Makolo tutegemee kunyakua kombe gani wadau? 🤣🤣🤣🤣
Walikua wanataka wafilimbwe vizuri,wanawashwaHii timu ilikua inataka kucheza na Mamelodi Sundowns [emoji3061][emoji3061]
Kombe la chaiHivi baada ya hapa sisi Makolo tutegemee kunyakua kombe gani wadau? 🤣🤣🤣🤣
Chwiiiiiii....!Daaaaaah
tulisha kosea sana kumtuma babra gengeni katujazia makachakacha juzi tena tumenda kuongeza magandaSimba ni kikosi cha wahuni