gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Mungu hawezi kukupa kitu bila bidii.Unafanya kwanza jitihada ndo mengine yanawezekana.Sasa simba kwajinsi unavyoiona ina jitihada gani zakuchukua huo ubingwa mechi zenyewe zimeshaisha.Simba akichukua ubingwa wa ligi kuu kwa namna yogote ile nitaamini 100% kuwa mpaji ni Mungu na si bidii ya mtu.