FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Simba akichukua ubingwa wa ligi kuu kwa namna yogote ile nitaamini 100% kuwa mpaji ni Mungu na si bidii ya mtu.
Mungu hawezi kukupa kitu bila bidii.Unafanya kwanza jitihada ndo mengine yanawezekana.Sasa simba kwajinsi unavyoiona ina jitihada gani zakuchukua huo ubingwa mechi zenyewe zimeshaisha.
 
Tatizo la simba linaanzia kwenye menejiment ya timu.wachezaji ni hawa hawa wanaochezaga nakupata matokeo ila ukutazama vizuri utaona iko shida uko kwa maboss wao.
 
NBC PL bado mbichi. Mechi 3 zilizobaki tunashinda zote, Uto mkipoteza 1 na kutoka sare 2, thithi kolokolo tutakuwa mabigwa kwa goals difference.
Mahesabu unayopiga unaona kabisa hayawezekaniki 😅😅😅
 
Kocha mlimwambia achague kuingia kwenye mfumo wa chama au chama aingie kwenye mfumo wa kocha

Chama akawa mshindi ilibidi kocha aingie kwenye mfumo wa chama
Ili kutowakera mashabiki wa simba watoto wenye tabia za junior

Chama kocha akimtoa kocha anafukuzwa acha achezage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…