FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Eti timu mbili zenye mpira wa kiwango cha juu zaidi Tanzania


Kutokubali ukweli ni kitu Simba mmefungiwa macho kabisa yaani na ndo kitu kitawafanya mzidi kuchelewa kuimarika

Lini umefika robo fainal caf klabu bingwa UTO
BAHLABANE BA NTWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…