Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Kila la Azam FC. Mkapate ushindi inshallah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam anapiga kwenye matumaini yaliobakia kama msimu uliopita yanga alivopiga kwenye matumaini yao.Kuna mtu ule mshono wake wa matumaini uliobakia unaenda kufumuliwa leo
Eti timu mbili zenye mpira wa kiwango cha juu zaidi Tanzania
Kutokubali ukweli ni kitu Simba mmefungiwa macho kabisa yaani na ndo kitu kitawafanya mzidi kuchelewa kuimarika
Yaani ni palepale kwenye jerahaAzam anapiga kwenye matumaini yaliobakia kama msimu uliopita yanga alivopiga kwenye matumaini yao.
Moja ina robo nne..!!Mungu ibariki SIMBA (The Gallants)
Chama langu tangu primary..!!!Kila la Azam FC. Mkapate ushindi inshallah.
Tutapita na Azam Confederation Cup kama ndege tai vile.
Azam hana uwezo wa kuipiga Simba mara 2 mfululizo ndani ya mwaka moja. Yaani alishinda,akatoa draw halafu leo nayo ashinde, never!Azam 3 - 1 Simba
Yaani unatambia robo fainali wallah..!!! Dah..!!! Kweli NGADA FC mna kaziLini umefika robo fainal caf klabu bingwa UTO
BAHLABANE BA NTWA
Sawa Prince Dube..!!!Azam hana uwezo wa kuipiga Simba mara 2 mfululizo ndani ya mwaka moja. Yaani alishinda,akatoa draw halafu leo nayo ashinde, never!
😆🤣 huyo ndo atakuwa kama kipofu leo.Sawa Prince Dube..!!!
Ambalo lilitaka kutoa roho kule Kigoma.Wanagombania Kombe la mbuzi