FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Friends of Azam ndo tunaingia
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi Kakolanya naye ni majeruhi au alishatimka Simba?

Huyu dogo hata timu ya mtaani kwangu hawezi kuwa chaguo la kwanza la kocha.
 
Simba na huyu kipa atatugharimu, goli la Wyad lilikuwa hivihivi sio mzuri wa kukamata mpira au kuondoa sehemu hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…