Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha inatakiwa ambadilishe amwingize Kakolanya haraka sana la sivyo Simba inafungwa tena.daah ally ally salim
Zile sifa mlizompa zimeiishia wapi?Simba hamna kipa. Huyu dogo ni uchafu[emoji706]
Rangi ya makopakopa yako.........Azaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]
Labda Casablanca ya Buza, mlifanya nini kule zaidi ya kuliwa kiboga
Hivi si ndio huyu huyu mlimsifia sana mlipowafunga Yanga juzi juzi?Hivi Kakolanya naye ni majeruhi au alishatimka Simba?
Huyu dogo hata timu ya mtaani kwangu hawezi kuwa chaguo la kwanza la kocha.
Sijui kocha wa makipa Simba huwa ana kazi gani, hili tatizo linajirudia sana kwake tuombe Mungu asijerudia tena kwenye hii game.Hiyu Salim tabia ya kutema mipira hii aisee
Amelewa huyo, ngoja ikate kichwani akili zitamrudia aanze kulia..Kuna shabiki wa Yanga namsikia anaimba hapa Azam niachie my wangu [emoji23]
Eti marumo. Mikia mna matatizo ya wazi kabisa.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
kwa mujibu wa CAF bila shaka, au sio?Azam timu bora zaidi ya Simba